title : MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR LEO UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA
kiungo : MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR LEO UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA
MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR LEO UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Talib Ali Talib, alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake.
wa Mjini Amaan
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Vijana wa Chipukizi wa Mkoa wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia ngoma ya kibati wakati wa mapokezi yake yalioandaliwa katika viwanja Afisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mjini Amani, baada ya kuwasili Zanzibar wiki iliopita akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM na kuchaguliwa tena kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi.
WANACHAMA wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa CCM meza kuu wakisimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar. Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR LEO UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA
yaani makala yote MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR LEO UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR LEO UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mapokezi-ya-makamu-mwenyekiti-wa-ccm.html
0 Response to "MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR LEO UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA"
Post a Comment