MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA
kiungo : MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA

soma pia


MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA


WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur wakikagua vyoo bora vinavyotumika na Wanafunzi wa shule ya Msingi  Humekwa,wilayani Chamwino mapema leo,ambapo Mh.Ummy amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora,
ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.PICHA NA MICHUZIJR-DODOMA
WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur wakikagua vyoo bora vinavyotumika na Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Humekwa,wilayani Chamwino mapema leo,ambapo Mh.Ummy amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora,
ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur wakiangalia  namna Kibuyu Chilizi kinavyosaidia kuepukana na magonjwa ya matumbo,kuhara pamoja na kipindupindu

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwa ameongoza na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Vumilia Nyamonga,Mganga Mkuu wa Mkoa hospitali ya Dodoma Dkt James Charles pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur wakitoka kukagua mazingira ya usafi wa zahanati ya kijiji Humekwa
wilayani Chamwino mapema leo,ambapo Mh.Ummy amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora,ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza mapema leo mbele ya Wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino mkoani Dodoma,na baadae kujibu kero kadhaa za wananchi huo kuhusiana sekta ya Afya katika kijiji hicho na kufanya ukaguzi wa Usafi wa Mazingira na Vyoo bora ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
 

Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur,ambao pia ni baadhi ya Wafadhiri wa Mazingira na Usafi katika sehemu mbalimbali hapa nchini,akiwasalimia baadhi wa wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino,waliofika kwenye mkutano wa hadhara,ambapo mgeni rasmi alikuwa WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu ambaye alifika katika kijiji hicho kukagua Usafi wa Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.Pichani kulia ni Mganga Mkuu hospitali ya Mkoa wa Dodoma Dkt James Charles pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Vumilia Nyamonga.

Mmoja wa Wanafunzi wa shule ya Msingi Humekwa,katika kijiji cha Humekwa wilayani Chamwino akinawa mikono kwa kutumia maji ya kibuyu chilizi pamoja sabuni mara baada ya kutoka chooni,kuepuka kuambukizwa na magonjwa mbalimbali ikiwemo Kipindupindu.


HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-mama-samia-suluhu-hassan.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI AWAMU YA PILI KESHO MKOANI DODOMA"

Post a Comment