MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO
kiungo : MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

soma pia


MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kusini Unguja akipiga kura kuchagua viongozi wa CCM mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika kwenye Hoteli ya Coconut Tree, Marumbi wilaya ya Kati mkoa wa Kusini Unguja(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kusini Unguja akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdallah Juma Abdalla Sadalla(Mabodi)kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika kwenye Hoteli ya Coconut Tree, Marumbi wilaya ya Kati mkoa wa Kusini Unguja
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kusini Unguja akiwasalimu wajumbe kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa CCM mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika kwenye hoteli ya Coconut Tree, Marumbi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kusini Unguja akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati alipowasili kwenye kwenye mkutano mkuu wa uchaguzi wa CCM mkoa wa Kusini Unguja uliofanyika kwenye hoteli ya Coconut Tree, Marumbi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-apiga-kura-kwenye_80.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO"

Post a Comment