title : Makamu wa Rais afunga maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa
kiungo : Makamu wa Rais afunga maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa
Makamu wa Rais afunga maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Viwanja vya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Bahame Tom Nyanduga (kulia) alipotembelea banda lao wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Viwanja vya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere mjini Dodoma.
Sehemu ya wahudhuriaji wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Ndugu Rodgers William Sianga wakati akiwasili kwenye kilele cha maadhimisho ya siku Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Viwanja vya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Bahame Tom Nyanduga wakati akiwasili kwenye kilele cha maadhimisho ya siku Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa kwenye Viwanja vya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere mjini Dodoma.
Hivyo makala Makamu wa Rais afunga maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa
yaani makala yote Makamu wa Rais afunga maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais afunga maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-rais-afunga-maadhimisho-ya_11.html
0 Response to "Makamu wa Rais afunga maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu kitaifa"
Post a Comment