title : KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR
kiungo : KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR
KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed Shein akikunjuwa Kitambaa kinachoonesha Picha ya Mtunzi mahiri wa Vitabu na aloeneza lugha ya kiswahili kwa njia hio Muhammed Said Abdulla (BWANA MSA)mara baada ya kuwasili ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani kwa ajili ya uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili Kikwajuni mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed Shein katikati akiwa katikapicha ya pamoja na Viongozi mbalimbali baada ya kuzindua Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Mohammed Seif Khatib akitoa hotuba yake katika Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed Shein akisisitiza jambo alipokuwa akitohotuba yake ya Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kiswahili katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni Mjini Unguja
PICHA NA YUSSUF SIAMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR
yaani makala yote KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/kongamano-la-kwanza-la-kimataifa-la.html
0 Response to "KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR"
Post a Comment