title : Inspector Haroun Afunguka Beef Lake na Juma Nature
kiungo : Inspector Haroun Afunguka Beef Lake na Juma Nature
Inspector Haroun Afunguka Beef Lake na Juma Nature
Mkali wa 'hit' za zamani kama asali wa moyo Inspector Haroun maarufu ‘Babu' amesema hakuwa na bifu na mkali mwenzake kutoka Temeke Juma Nature bali bifu hiyo ilikuwa inatengenezwa na mashabiki.
Inspector amefunguka hayo kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio ambapo amejinasibu kuwa wakati yeye anaoa mwanamke na kuhamia Kijitonyama kutoka Temeke ndio kipindi ambacho Juma Nature na kundi lake la TMK walitoa ngoma ya 'Shibe shibe'
''Katika mistari ya nyimbo hiyo wamesema 'nyumbani ni nyumbani' watu wakawa wanajua kuwa kuhama kwangu Temeke ndio akanitungia nyimbo hiyo, baada ya muda kidogo mimi nimetoa 'Mishe mishe' basi ndio tukawachanganya sana kumbe wala haikuwa hivyo mimi na Nature hatuna tatizo tuko pamoja sana'', amesema.
Msanii huyo amesema kufanikiwa kwake kulitokana na kushiriki katika shindano la kusaka vipaji lililofanyika Don Bosco, ambapo DJ Bony Love alikuwa Jaji wa shindano hilo, yeye na Luteni Kalama wakaibuka washindi.
Alipoulizwa kuhusu wasanii kutoa nyimbo ambayo haidumu kwa muda mrefu, amesema inatokana na kukosa ubunifu ambapo wakati wao wanang’aa walikuwa wanatumia muda mwingi kuandaa ngoma zao.

Hivyo makala Inspector Haroun Afunguka Beef Lake na Juma Nature
yaani makala yote Inspector Haroun Afunguka Beef Lake na Juma Nature Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Inspector Haroun Afunguka Beef Lake na Juma Nature mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/inspector-haroun-afunguka-beef-lake-na.html
0 Response to "Inspector Haroun Afunguka Beef Lake na Juma Nature"
Post a Comment