Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara.

Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara.
kiungo : Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara.

soma pia


Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara.


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Rajab AbdulKahal maarufu Harmonize ametoa Msada wa Fimbo30 kwa Chama cha Wasioona Kilichopo Mkoa wa Mtwara Zenye Thaman ya Shilingi Million1 na Laki8 kama njia mojawapo ya kuwafariji walemavu wa macho katika kipindi hiki cha Sikukuu.

Katika Salam zake Hamornize amesema alipata taarifa ya kuwa chama Hicho kinauhitaji wa Fimbo kwa ajili ya Matumizi ya Kutembelea hivyo kuamua Kuleta Fimbo hizo ambapo Mahitaji ya Fimbo kwa kiasi kikubwa yanahitajika.

Aidha amewaomba baadhi ya Wadau wenye uwezo kujitokeza na kutoa Msaada ili kupunguza changamoto ambazo zinawakabili watu wenye ulemavu wa Macho.

Akizungumzia Kuhusiana na ziara yake Mkoani Mtwara Harmonize anasema bado Ataendelea Kutoa Msaada kulingana na anachopata na ataendelea kutembea asasi mbalimbali zenye mahitaji maalum ili kuweza Kusaidi.
 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Harmonize katika Picha ya Pamoja na chama cha watu Wasioona Mkoani Mtwara Mara baada ya kukabidhi Msaada wa Fimbo kwa walemavu wa Macho Mkoani Mtwara.
 Harmonize akimuongoza Kushuka Ngazi katibu wa Chama cha Wasioona Ally Ismail katika Makabidhiano ya Msaada wa Fimbo za kutembelea kwa watu wenye Ulemavu.


 Harmonize akiwa na Rafiki yake Sarah Akiongea na Wanachama wa Chama cha watu Wasioona kabla ya Kukabidhi Fimbo30 kwa ajili ya kutembelea.
Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya Harmonize akimkabidhi Fimbo 30  katibu wa chama cha Wasioona Mkoani Mtwara Ally Ismail.


Hivyo makala Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara.

yaani makala yote Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/harmonize-atoa-msaada-wa-fimbo-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Harmonize atoa Msaada wa Fimbo kwa Wasioona Mtwara."

Post a Comment