Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme

Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme
kiungo : Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme

soma pia


Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameendelea na ziara ya kukagua hatua iliyofikiwa katika ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya kupoza na kusambaza umeme pamoja na njia ya kusafirisha umeme kutoka Makambako hadi Songea.

Lengo la ziara hiyo ni kukagua uimara wa mitambo ili Serikali kupitia TANESCO iweze kujipanga vizuri kwa kuwa na umeme wa uhakika.
Waziri wa Nishati Dkt MEDARD KALEMANI akiwa kwenye ziara ya Kukagua hatua iliyofikiwa katika ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya kupoza na kusambaza umeme pamoja na njia ya kusafirisha umeme kutoka Makambako hadi Songea.

"Kama ilivyo azma ya Serikali ya Awamu ya Tano kuifanya Tanzania kuwa nchi ya Viwanda, tunahitaji kuwa na umeme wa uhakika". Alisema Dkt. Kalemani. Habari Wakuu naomba Mpokee Codes kwa ajili ya Kuhabarisha Umma.....Natanguliza Shukrani Katika ziara hiyo pia amekagua miradi ya umeme Vijijini Awamu ya Tatu inayoendelea katika Mikoa hiyo ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Akikagua mradi wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 220 kutoka Makambako hadi Songea, Dkt. Kalemani alisema mradi huo utaiunganisha Mkoa wa Ruvuma katika Gridi ya Taifa. Pia, kukamilika kwa miradi hiyo kutaipunguzia gharama Serikali kwa kuondokana na mitambo ya mafuta.
Pichani ni Baadhi ya vituo vya kupoza na kusambaza umeme pamoja na njia ya kusafirisha umeme kutoka Makambako hadi Songea.


Hivyo makala Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme

yaani makala yote Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/dkt-kalemani-aendelea-na-ziara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme"

Post a Comment