title : CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO
kiungo : CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO
CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO
Mjumbe wa NEC Mh. Januari Makamba akizungumza na kutoa utaratibu wa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa unaofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa leo Chama cha mapinduzi kimekuwa na chaguzi za ngazi mbalimbali kuchagua viongozi watakaokwenda kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano tutawaletea taarifa zaidi kuhusu matokeo ya uchaguzi huo.
Wagombea wa nafasi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika uchaguzi hu.
Baadhi ya wajumbe wakiwa katika mkutano huo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO
yaani makala yote CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/ccm-iringa-wapiga-kura-kuchagua-uongozi.html
0 Response to "CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO"
Post a Comment