Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar

Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar
kiungo : Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar

soma pia


Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar

 Baadhi ya vikundi mbalimbali vya mazoezi vikishiriki katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.
Mashirika Viongozi pamoja na Wananchi walishiriki katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.

Viongozi mbalimbali  walishiriki katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.

 Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Mwanaidi Mohammed kushoto akitoa hotuba ya kumkaribiosha mgeni rasmi katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.

 Mgeni rasmi Muakilishi wa Jimbo la Kijitoupele Ali Suleiman Ali (Shihata) akitoa hotuba kuhusu udhalilishaji katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.Kushoto yake ni Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas na kulia yake ni Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Mwanaidi Mohammed 
 Mwenyekiti wa Baraza la Vijana shehia ya Miembeni Ismail Abbas Mkubwa katikati akifanya mahojiano na Waandishi wa Habari  katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.


 Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Wilaya ya Magharibi A Farida Juma Haji akifanya mahojiano na Waandishi wa Habari  katika Bonanza la Vijana Siku 16 za Uanaharakati kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto lililoanzia kwa maandamano katika mnara wa Kumbukumbu Kisonge hadi Viwanja vya maisara mjini Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.



Hivyo makala Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar

yaani makala yote Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/bonanza-la-vijana-kupinga-ukatili-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bonanza la Vijana Kupinga Ukatili na udhalilishaji Dhidi ya Wanawake na Watoto Lafanyika Zanzibar"

Post a Comment