Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA

Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA
kiungo : Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA

soma pia


Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA

Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, leo wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) katika kikao cha kawaida cha 33 cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji ya mamlaka kwa kipindi cha robo ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha 2017/2018.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (kulia) leo akimweleza jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya mamlaka hiyo, Prof. Mhandisi Ninatubu Lema (katikati), katika kikao cha 33 cha Kawaida cha kujadili robo ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha 2017/2018 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, wakiwa katika kikao cha kawaida cha 33 cha kujadili masuala mbalimbali ya utendaji kwa kipindi cha robo ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha 2017/2018 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).
Mjumbe wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Dr. Frederick Mwakibinga (kushoto) akizungumza jambo kwenye kikao cha 33 cha bodi hiyo cha kujadili robo ya kwanza na pili ya mwaka wa fedha 2017/2018, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).


Hivyo makala Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA

yaani makala yote Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/bodi-ya-ushauri-mab-ya-mamlaka-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yakutana leo JNIA"

Post a Comment