Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza

Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza
kiungo : Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza

soma pia


Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza

Mwambawahabari 
Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya mkoani Mara limemkamata na kumfikisha mahakamani Mwalimu wa Shule ya Msingi Itiryo kwa tuhuma za kuwabaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Henry Mwaibambe, alithibitisha kuwa wamemkamata Mwalimu Swamwel Daniel ambaye anatuhumiwa kuwabaka wanafunzi wa darasa la kwanza wenye umri kati ya miaka 7 hadi 9.

Kamanda Mwaibambe alisema kuwa mwalimu huyo anadaiwa kutenda kitendo hicho kwa nyakati tofauti kati ya tarehe 30 Novemba hadi tarehe 6 Disemba. Aidha amesema walimkamata mtuhumiwa huyo alipokuwa akijiandaa kutoka nje ya nchi.

Mwalimu hiyo alifikishwa mahakamani Disemba 12 mwaka huu na kufunguliwa kesi ya jinai namba 682 ambayo inatarajiwa kutajwa Disemba 28 mwaka huu.

Aidha, Mwaibambe alisema kuwa ushahidi na vitu vyote vinavyotakiwa katika kesi hiyo vimekamilika na hivyo ameiomba mahakama kama itawezekana kesi hiyo isikilizwe ndani ya muda mfupi.


Hivyo makala Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza

yaani makala yote Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/akamatwa-kwa-kubaka-wanafunzi-9-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Akamatwa kwa kubaka wanafunzi 9 wa darasa la kwanza"

Post a Comment