title : YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017
kiungo : YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017
YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiingia bungeni tayari kuongoza Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Wabunge wakiwa wamesimama wakati wa dua ya kuiombea nchi na bunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na Utawala Bora Mhe.Capt(Mst) George Mkuchika akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa Tisa wa kikao cha nne cha Bunge hilo leo Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamisi Kigwangalla akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017
yaani makala yote YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/yaliyojiri-bungeni-mjini-dodoma-leo.html
0 Response to "YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 10,2017"
Post a Comment