title : WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI
kiungo : WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI
WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI
Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Jengo la usambazaji wa Vifaa vya ujenzi na Saruji linalojengwa na umoja wa Wafanyabiashara wa Kichina Barani Afrika CNBM kwa thamani ya Dola za kimarekani Bilioni 56 Katika Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage akiongoza zoezi la uwekaji wa mchanga katika sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi katika Uzinduzi wa ujenzi wa eneo la Uuzaji wa Vifaa vya Ujenzi katika kutoka kwa umoja wa Wafnyabiashara wa kichina Afrika CNBM
Balozi wa Serikali ya China ya China nchini Tanzania , Ke Wang akihutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi kwa jengo la uuuzaji wa bidhaa za ujenzi kutoka kwa umoja wa Wafanyabiashara wa kichina nchini CNBM
Mwenyekiti wa bodi ya Umoja wa Wafanyabiashara wa kichina , CNBM GROUP COLTD, Dr Zhiping Song akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuweka jiwe la Msingi
Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote ,Hemendra Raithatha akitoa salam za Kiwanda chake juu ya jengo hilo la usamabazji wa Vifaa vya Ujenzi .
Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage akisaini katika ubao wa wageni .
Hivyo makala WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI
yaani makala yote WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-mwijage-awatahadharisha.html
0 Response to "WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI"
Post a Comment