title : WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO
kiungo : WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO
WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO
Mkurugenzi Maendeleo ya Michezo Bw. Makoye Nkenyenge (kulia) akiwatambulisha viongozi wa mchezo wa Base Ball na Soft Ball Tanzania kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) walipomtemtembelea kumkabidhi hati ya kutambuliwa na Shirikisho la dunia la mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akipokea hati ya utambulisho wa mchezo wa Base Ball na Soft Ball kutambuliwa na Shirikisho la dunia la mchezo huo kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Mchezo wa Base Ball na Soft Ball Tanzania Dkt. Ahmed Makata (kushoto) jana Jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mkurugenzi Maendeleo ya Michezo Bw. Makoye Nkenyenge
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akisoma hati ya utambulisho ya mchezo wa Base Ball na Soft Ball baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Shirikisho la Mchezo wa Base Ball na Soft Ball Tanzania Dkt. Ahmed Makata (kushoto) jana Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Shirikisho la Mchezo wa Base Ball na Soft Ball Tanzania Dkt. Ahmed Makata (kushoto) baada ya kumkabidhi taarifa na hati ya utambulisho wa mchezo huo kutambuliwa na Shirikisho la dunia la mchezo huo jana Jijini Dar es Salaam.
Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM
Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO
yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-mwakyembe-akipongeza-chama-cha.html
0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE AKIPONGEZA CHAMA CHA MCHEZO WA BASE BALL TANZANIA KWA KUPATA HATI YA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA DUNIA LA MCHEZO HUO"
Post a Comment