WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenuyekiti wa CCM wa Mkoa wa Singida, Martha Mlata baada ya kuwasili Ikulu Ndogo ya Singida Novemba 29, 2017. Kesho Mheshimiwa Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria chaTanzania yatakayofanyika mjini Singida. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kuila) wakimsikiliza mwimbaji wa Kwaya ya Africa Inland Church Tanzania, Loice Jonathan (kushoto) baada ya kuwasili kwenye Ikulu ndogo ya Singida Novemba 29, 2017. Kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yatakayofaanyika mini Dodoma. Watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-awasili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO"

Post a Comment