WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE

WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE
kiungo : WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE

soma pia


WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imewahoji wahariri pamoja Waandishi wa Habari wa Magazeti ya Mtanzania, Mwananchi na Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge.

Akizungumza mara baada ya kuwahoji mashahidi hao, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Almasi Athuman Maige (Mb) alisema wahusika wote walifika mbele ya Kamati na kujibu tuhuma hizo ambazo ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.

Mheshimiwa Maige alisema Kamati baada ya kuwasikiliza mashahidi wote waliofika itaandaa Taarifa yake na kuiwasilisha kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai.“Kanuni zimeweka masharti kuwa shughuli za Kamati hii zinazofanywa zitabakia kuwa ni siri hadi hapo itakapomaliza kazi yake na kuwasilisha taarifa Bungeni,” alisema.

Aliwataja waliofika katika Kamati hiyo kuwa ni Ndugu Denis Msaki ambaye ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania na mwandishi wake Ndugu Bakari Kimwanga, Ndugu Edmond Msangi Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Nipashe na mwandishi wake Ndugu Gwamaka Alipipi na Ndugu Angetile Osiah Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mwananchi na Mwandishi wake Ndugu Elias Msuya.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mtanzania Bw. Denis Msacky akijieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.
Mhariri/Mwandishi wa Habari Gazeti la Mtanzania Bw. Bakari Kimwaga akiapaa kabla ya kuanza akijieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi Bw. Angetile Osiah na Mwanasheria wake mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.
Mhariri wa Gazeti la Nipashe Bw. Edmond Msangi akijieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.
PICHA NA OFISI YA BUNGE


Hivyo makala WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE

yaani makala yote WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/wahariri-na-waandishi-wa-magazeti.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI KWA KOSA LA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU USHAHIDI NA MWENENDO WA KIKAO CHA KAMATI HIYO BILA KUPATA IDHINI YA BUNGE"

Post a Comment