NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO
kiungo : NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

soma pia


NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO


Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

Kamati ya Fedha na Utawala katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala ,imefanikiwa kutekeleza asilimia 98 ya miradi mbalimbali ya maendeleo iliyokusudiwa kutekeleza katika awamu ya kwanza ya mwaka fedha wa 2017/2018 katika kipindi cha mwezi Septemba hadi Oktoba kutumia Sh bilioni 1.2 kati ya Sh bilioni 2.5 zilizotakiwa kutumika.

Hayo yamesemwa leo na Mchumi wa manispaa hiyo Ando Mwankuga baada ya kufanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na kujionea kile walichopanga, kuwa kimetekelezwa kwa ufanisi, na baadhi ya miradi imekamilika na mingine ikiendelea kutekelezwa kikamilifu.

Amesema katika utekelezaji wa miradi hiyo, kuna changamoto mbalimbali ambapo miradi mingi inaanzishwa lakini haikamiliki kwa wakati,miradi hiyo hufanyika kutokana na vyanzo mbali mbali vya fedha za ndani na ruzuku ya serikali na kukuta mradi ni mkubwa kuliko kiwango cha fedha,kilichopo,pia amewaomba madiwani kupitisha bajeti kulingana na miradi ili kutatua changamoto ya miradi kutofanikiwa. 
Mchumi wa manispaa ya ilala (katikati) Ando Mwankunga akizungumza walipofanya ziara katika ujenzi ofisi ya kata Mvuleni ambapo inaendelea kujengwa.
Afisa mtendaji wa kata hiyo Enock Segesela,(kulia) akielezea jambo.
Hii ndiyo ofisi ya kata ya Mvuleni inayoendelea kujengwa, ambapo ina chumba cha Mwenyekiti,ofisi ya chumba cha mtendaji kata,ukumbi wa mikutano,choo,pamoja na stoo ya kuifadhi vitu.
Naibu Meya katika Manispaa ya ilala (kushoto) Omary Kumbilamoto pamoja na diwani wa kata ya segerea Edwin Mwakatobe wakikagua Kisima cha maji katika kata ya segerea.



Hivyo makala NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

yaani makala yote NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/naibu-meya-manispaa-ya-ilala-omary.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU MEYA MANISPAA YA ILALA OMARY KUMBILAMOTO AONGOZA KAMATI YA FEDHA NA UTAWAL KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO"

Post a Comment