title : WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI
kiungo : WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI
WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) wakiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADCPF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto), Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADC PF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto) akizungumza pale Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) walipokutana na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), Wengine ni Wajumbe wa Jukwaa hilo, Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia).
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI
yaani makala yote WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/wabunge-wawakilishi-wa-jukwaa-la.html
0 Response to "WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI"
Post a Comment