title : ufunguzi wa Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Ardhi jijini Dar es salaam
kiungo : ufunguzi wa Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Ardhi jijini Dar es salaam
ufunguzi wa Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Ardhi jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Malijaliwa (kulia) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Aridhi Tanzania Mhe. David Cleopa Msuya wakati wa uzinduzi wa Sherehe ya miaka Kumi ya Chuo Kikuu cha Ardhi ambayo yameanza leo Novemba 23/2017 Jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu mhe Kassim Majaliwa akiongea na Makamu Mkuu wa Chuo cha Ardhi Profesa Evaristo Liwa (kulia) na Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi. Profesa Joyce Ndalichako wakati wa ufunguzi wa Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Ardhi jijini Dar es salaam.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala ufunguzi wa Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Ardhi jijini Dar es salaam
yaani makala yote ufunguzi wa Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Ardhi jijini Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ufunguzi wa Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Ardhi jijini Dar es salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/ufunguzi-wa-sherehe-za-miaka-10-ya-chuo.html
0 Response to "ufunguzi wa Sherehe za Miaka 10 ya Chuo cha Ardhi jijini Dar es salaam"
Post a Comment