TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM

TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM
kiungo : TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM

soma pia


TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM


Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu amempongeza aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki(CCM), Lazaro Nyalandu kwa kupata ujasiri wa kuchukua hatua kubwa ambayo hata wabunge wengi waliopo ndani ya CCM wanashindwa kuichukua.

Lissu ambaye yuko kwenye matibabu jijini Nairobi  nchini Kenya amempongeza Nyalandu kwa kuwa ni alikuwa mbunge jirani yake na kuwa ujasiri wa kufanya hivyo.

Mbali na kumpongeza Nyalandu pia Lissu amezungumzia uchaguzi wa madiwani katika kata 43 akieleza kuwa kuwapa CCM kura katika kata hizo ni sawa na kukubaliana na yanayoendelea nchini.

“Kuwapa CCM kura sasa hivi ni sawa na kuwapa CCM mamlaka ya kutapanya mali zetu kama wanavyotaka,”amesema Lissu jana Jumanne akiwa jijini Nairobi.



Hivyo makala TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM

yaani makala yote TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/tundu-lissu-ampongeza-nyalandu-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUNDU LISSU AMPONGEZA NYALANDU KWA UJASIRI WA KUIPIGA CHINI CCM"

Post a Comment