TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA

TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA
kiungo : TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA

soma pia


TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.

Kampuni ya Simu ya TTCL nchini, leo imazindua mpango mkakati wa mageuzi ya kibiashara unaolenga kuirejesha kampuni hiyo kuwa kiongozi wa huduma za mawasiliano (Tehama) katika soko la ndani ya Tanzania na nje.

Mpango huo ambao umezinduliwa jijini Dar es Salaam na Afisa Masoko Mkuu, wa kampuni hiyo, Laibu Leornad ambapo pamoja na mambo mengine, uzinduzihuo unajumuisha matumizi ya teknolojia ya kisasa ya 2G, 3G na 4G, huduma itakayopatikana katika mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Pwani na Dodoma.

Aidha ametaja mikoa mingine ni Kigoma, Mtwara, Tanga, Zanzibar, Shinyanga, Mwanza, Arusha, Mbeya, na Iringa na Tabora.Akizungumza na waandishi wa habari Leonard, alisema lengo ni kuona wanatoa huduma bora kwa wananchi.“Na hivi sasa tunaendelea kutoa huduma mbalimbali za mawasiliano kwa njia ya sauti pamoja na data kwa gharama nafuu na tumeshuhudia wananchi wengi wameanza kurudi nyumbani kutokana na ubora wa vifurushi, gharama nafuu, na huduma nyingine,” alisema Leonard.

Alivitaja vifurushi ambavyo TTCL imevizinduwa kuwa ni pamoja na Kifurushi cha Bandika Bandua;ambacho kinatoa fursa kwa wateja kutumia intaneti kwa kiwango fulani kuanzia 12:00 asubuhi – 04:00 usiku na kiasi kikubwa wakati wa Usiku kuanzia 04:00 usiku -12:00 asubuhi.

Kingine ni kifurushi cha T.Connect plus; ambacho kimeboreshwa zaidi kwa kutoa fursa kwa wateja kuendelea kufurahia huduma ya mawasiliano kwa gharama nafuu na GB za kutosha. Alisema mteja atakayenunua kifurushi cha Siku, Wiki na Mwezi atapata zaidi ofa ya kutumia Intaneti bure kuanzia majira ya 12:00 asubuhi -03:00 asubuhi.

“…Kifurushi cha Waandishi;- TTCL  ni cha kwanza katika historia ya nchi yetu, “TTCL tunatambua umuhimu mkubwa wa waandishi wa habari katika nchi yetu, sekta hii ya Habari imekuwa na mchango mkubwa kuleta maendeleo kwa wananchi.”amesema.

Ofisa Mkuu Mauzo na Masoko wa Kampuni ya TTCL, Laibu Leonard akizungumza leo Dar es Salaam na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya za mawasiliano ya Intaneti (Data) kwa wateja zenye ofa kabambe za muda wa kutosha kupiga simu.


Hivyo makala TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA

yaani makala yote TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/ttcl-yazindua-mpango-mkakati-wa-mageuzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TTCL YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA MAGEUZI YA BIASHARA"

Post a Comment