title : TAZAMA PICHA ZA RAIS DKT MAGUFULI AKIFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE
kiungo : TAZAMA PICHA ZA RAIS DKT MAGUFULI AKIFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE
TAZAMA PICHA ZA RAIS DKT MAGUFULI AKIFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE
Mwambawahabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakipeana mikono baada ya Rais kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa habari baada ya kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mzee Nekemia Kazimoto (80) na mkewe Florence Kazimoto baada ya sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijumuika katika sala na Mzee Nekemia Kazimoto (80) na mkewe Florence Kazimoto na binti yao Lucy Kazimoto alipomtembelea kumjulia hali baada ya sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa mjini Bukoba waliomsimamisha ili awasalimie wakati akirejea kutoka Karagwe kwenye sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Picha na Ikulu
Hivyo makala TAZAMA PICHA ZA RAIS DKT MAGUFULI AKIFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE
yaani makala yote TAZAMA PICHA ZA RAIS DKT MAGUFULI AKIFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAZAMA PICHA ZA RAIS DKT MAGUFULI AKIFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/tazama-picha-za-rais-dkt-magufuli.html
0 Response to "TAZAMA PICHA ZA RAIS DKT MAGUFULI AKIFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE"
Post a Comment