title : Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
kiungo : Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.
Hatua hiyo hata hivyo haijaufurahisha upinzani ambao unataka Rais Joseph Kabila aondoke madarakani.
Uchaguzi ulipangiwa kufanyika mwaka huu chini ya makubaliano yaliyoafikiwa mwaka jana, lakini tume ya uchaguzi imechelewa kuandaa uchaguzi.
Awali, ilikuwa imetangaza kwamba uchaguzi unaweza tu kufanyika mwaka 2019.
Lakini sasa tume hiyo imetangaza kwamba uchaguzi wa rais, wabunge na viongozi wa serikali za majimbo utafanyika mnamo 23 Desemba, 2018.
Hivyo makala Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo
yaani makala yote Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/tarehe-mpya-ya-uchaguzi-wa-urais.html
0 Response to "Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo"
Post a Comment