title : TAMBWE KAMILI GADO, YANGA KUENDELEA KUWAKOSA TSHISHIMBI, NGOMA NA KAMOSOKU
kiungo : TAMBWE KAMILI GADO, YANGA KUENDELEA KUWAKOSA TSHISHIMBI, NGOMA NA KAMOSOKU
TAMBWE KAMILI GADO, YANGA KUENDELEA KUWAKOSA TSHISHIMBI, NGOMA NA KAMOSOKU
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
KIKOSI cha Yanga kimeendelea na mazoezi yake leo katika Uwanja wa Uhuru kujiandaa na mchezo wa raundi ya 11 ya ligi kuu Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons ya Jijini Mbeya.
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika kwenye Uwanja wa Chamazi kutokana na mabadiliko yaliyofanya na bodi ya ligi baada ya Uwanja wa Uhuru kuwa na shughuli za kijamii.
Katika mazoezi hayo, mshambuliaji Mrundi, Amissi Joselyn Tambwe aliyekosekana uwanjani kwa kipindi kirefu toka kuanza kwa ligi msimu huu leo amejumuika na wenzake na kufanya mazoezi kikamilifu kwa mara ya kwanza pamoja na wenzake ikiwa ni baada ya muda mrefu.
Kurejea kwa Tambwe katika mazoezi ya pamoja chini ya Kocha George Lwandamina kuna uwezekano kwenye mchezo wa wiki hii akajumuishwa kwenye mchezo dhidi ya TZ Prisons siku ya Jumamosi.
Kocha wa Yanga, Mzambia George ‘ Lwandamina amesema kwamba kati ya majeruhi wake wanne, wengine ni Tambwe pekee amefanya mazoezi ukiachilia kiungo Thabani Kamusoko na mshambuliaji, Donald Ngoma nna kiungo Papy Kabamba "Tshishimbi" ambapo alikosa mchezo wa wiki iliyopita dhidi ya Mbeya City.
Hivyo makala TAMBWE KAMILI GADO, YANGA KUENDELEA KUWAKOSA TSHISHIMBI, NGOMA NA KAMOSOKU
yaani makala yote TAMBWE KAMILI GADO, YANGA KUENDELEA KUWAKOSA TSHISHIMBI, NGOMA NA KAMOSOKU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMBWE KAMILI GADO, YANGA KUENDELEA KUWAKOSA TSHISHIMBI, NGOMA NA KAMOSOKU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/tambwe-kamili-gado-yanga-kuendelea.html
0 Response to "TAMBWE KAMILI GADO, YANGA KUENDELEA KUWAKOSA TSHISHIMBI, NGOMA NA KAMOSOKU"
Post a Comment