TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR

TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR
kiungo : TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR

soma pia


TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR

Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa filamu fupi ya "Njiti", Waziri wa Madini, Angella Kairuki (katikati) akiwa na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kulia) pamoja na Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel (DMF) na Balozi wa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati "Njiti", Doris Mollel baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi huo, uliofanyika katika ukumbi wa sinema wa Cinemax, Dar Free Market, jijini Dar es salaam leo. Filamu hiyo ambayo inaelezea maisha ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati "Njiti" imeandaliwa na Taasisi ya Doris Mollel, imelenga kutoa elimu ya uelewa wa namna ya malezi bora kwa mtoto anayezaliwa kabla ya wakati.
Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa filamu fupi ya "Njiti", Waziri wa Madini, Angella Kairuki akitoa hotuba yake, ambapo alitoa pongezi nyingi kwa Taasisi ya Doris Mollel kwa kufanikisha kupatikana kwa elimu ya uelewa wa namna ya malezi bora kwa mtoto anayezaliwa kabla ya wakati kupitia filamu hiyo.
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa filamu fupi ya "Njiti", ambayo inaelezea maisha ya Mtoto aliyezaliwa kabla ya wakati "Njiti" iliyoandaliwa na Taasisi ya Doris Mollel, imelenga kutoa elimu ya uelewa wa namna ya malezi bora kwa mtoto anayezaliwa kabla ya wakati.
Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel (DMF) na Balozi wa Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati "Njiti", Doris Mollel akizungumza katika hafla hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa sinema wa Cinemax, Dar Free Market, jijini Dar es salaam leo. 
Sehemu ya wageni waliohudhulia hafla hiyo.


Hivyo makala TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR

yaani makala yote TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/taasisi-ya-doris-mollel-yazindua-filamu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU MTOTO "NJITI" JIJINI DAR"

Post a Comment