SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI

SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI
kiungo : SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI

soma pia


SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mjumbe wa Bunge la Afrika anaewakilisha Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Stephen Masele (katikati) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma. wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Afrika wanaowakilisha Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Asha Juma, wa pili kulia ni Mjumbe Mhe. David Silinde na kulia ni Katibu wa Spika, Ndg. Said Yakubu.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Afrika wanaowakilisha Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Asha Juma (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Afrika wanaowakilisha Bunge la Tanzania katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma. wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania, Mhe. Asha Juma, wa pili kulia ni Mjumbe Mhe. Stephen Masele na kulia ni Mjumbe Mhe. David Silinde.
  Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akipokea taarifa ya Mkutano wa Bunge la Afrika uliofanyika kuanzia tarehe 6 mpaka 20 Oktoba, 2017 nchini Afrika ya kusini, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Afrika wanaowakilisha Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Asha Juma (wa pili kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma. kushoto ni Mjumbe, Mhe. Stephen Masele na kulia ni Mjumbe, Mhe. David Silinde.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI

yaani makala yote SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/spika-ndugai-apokea-taarifa-ya-mkutano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA OKTOBA 6 MPAKA 20, 2017 NCHINI AFRIKA YA KUSINI"

Post a Comment