Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17

Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17
kiungo : Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17

soma pia


Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17

Serikali inatarajia kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI wa mwaka 2016/2017 katika Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Desemba Mosi mwaka huu Jijini Dar es Salaam.

Hayo yamesemwa na Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama leo mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa  habari kuhusu Siku ya Maadhimisho ya UKIMWI Duniani.

"Hii ni ripoti muhimu sana inayotokana na utafiti ambao huwa unafanyika kila baada ya miaka minne, ambapo utafiti wa kwanza ulifanyika mwaka 2003/2004 ni taarifa ambayo husaidia kuonesha hali halisi ya maambukizi ya VVU kwa watu wa marika mbalimbali pamoja na mapendekezo ya kisera namipango ya kudhibiti UKIMWI nchini," amesema Mhe. Mhagama.

Aidha, amesema kuwa maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani yenye kaulimbiu "Changia mfuko wa maisha, Tanzania bila Ukimwi inawezekana" yatatoa fursa ya kutathimini hali halisi na mwelekeo wa udhibiti UKIMWI Kitaifa na Kimataifa ikiwemo kutafakari changamoto, mafanikio na uimarishaji wa mikakati mbalimbali ya kudhibiti UKIMWI.

" Siku hii pia hutoa nafasi ya kuwakumbuka wale wote waliopoteza maisha yao kutokana na UKIMWI, kuwaenzi wale waliojitokeza na kutoa mchango wao katika kudhibiti UKIMWI, pamoja na kuwajali yatima waliotokana na vifo vinavyohusiana na ugonjwa wa UKIMWI" ameongeza Jenista Mhagama.

Pia amesema kuwa, lengo lingine ni kutafakari na kutekeleza kitaifa na kimataifa kauli mbiu inayotolewa kila mwaka kulingana na vipaumbele vya kidunia, kikanda na kitaifa.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17

yaani makala yote Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/serikali-kuzindua-ripoti-ya-utafiti-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17"

Post a Comment