title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYAMAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU.
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYAMAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU.
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYAMAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkaribisha Balozi wa Oman nchini Ali A.Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP1b: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Oman nchini Ali A.Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Oman nchini Mhe. Ali A. Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP2c: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiagana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipeana mikono na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea barua ya Spika wa Bunge la Kuwait kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYAMAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU.
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYAMAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYAMAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/spika-ndugai-akutana-na.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYAMAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU."
Post a Comment