SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA

SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA
kiungo : SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA

soma pia


SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA

Shule ya Msingi ya New Version ya Kibaha kwa Mathiasi imefanikiwa kung'aa katika mtihani wa taifa darasa la saba mwaka huu kwa kushika nafasi ya pili kiwilaya, nafasi ya tano kimkoa huku kitaifa ikishika nafasi ya 96 na kuwa na wastani wa 205. 1765.

Shule hiyo ya New Vision kwa mwaka huu imepanda kutoka nafasi ya sita iliyoshika mwaka jana katika mtihani wa taifa wa darasa la saba na kuwa ya pili kiwilaya huku kimkoa ikishika nafasi ya 22 na kuwa ya 702 kitaifa huku ikiwa na wastani wa 163.0714.

Mkurugenzi wa shule hiyo inayotoa elimu yake kwa lugha ya Kiingereza, Andrea Mfuko alisema siri kubwa ya ufauli kwa watoto katika shule hiyo ni mfumo mzuri wa ufundishaji na mazingira ya watoto kujisomea kwa utulivulisema kwani kila Mwalimu anahakikisha kabla ya kuhama topic moja kwenda nyingine ni lazima mtoto awe ameelewa vema, kile alichofundishwa.

Amesema mbali na masomo, Wanafunzi wa New vision wanafundishwa kujielewa, kujitambua na kujua wajibu walionao kwa jamii inayowazunguka na taifa kwa ujumla.
Wanafunzi waaliomaliza darasa la saba mwaka 2017 wa shule ya msingi ya New Version wakiwa wamembeba mwanafunzi Lawrence Lucian aliyeongoza kwenye matokeo ya Darasa la Saba shuleni hapo.


Hivyo makala SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA

yaani makala yote SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/shule-ya-msingi-ya-new-version-yangara.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHULE YA MSINGI YA NEW VERSION YANG'ARA MATOKEO YA DARASA LA SABA"

Post a Comment