title : SERIKALI YENDELEA KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO
kiungo : SERIKALI YENDELEA KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO
SERIKALI YENDELEA KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu kwa watoto njiti kutoka kwa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye gharama ya Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ) kupitia mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter wakionyesha vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu kwa watoto njiti katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye gharama ya Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ) kwa ajili ya kusaidi Hospitali za Mikoa ya Mtwara na Lindi iliyo katika mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Afya mara baada ya kumalizika kwa hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na: Frank Shija -MAELEZO).
Hivyo makala SERIKALI YENDELEA KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO
yaani makala yote SERIKALI YENDELEA KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YENDELEA KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/serikali-yendelea-kuimarisha-mkakati-wa.html
0 Response to "SERIKALI YENDELEA KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO"
Post a Comment