SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU

SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU
kiungo : SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU

soma pia


SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. George Joseph Kakunda anayeshughulikia Elimu, Maji, Kilimo, Mifugo na Maliasili, amefungua Mkutano wa kwanza wa kazi kwa Kaimu Makatibu Wasaidizi wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) katika ukumbi wa chuo cha Mipango mjini Dodoma leo.

Mkutano huo ni wa kwanza tangu kuanzishwa kwa Tume ya TSC mwaka 2015, ambao hutakiwa kufanyika kila baada ya miaka mitatu kwa malengo mbalimbali likiwemo kupitia kanuni, sheria na taratibu za Tume hiyo.

Akifungua kikao kazi hicho mjini Dodoma, ameagiza kuwepo kwa ushirikiano baina ya TSC, Idara ya Elimu na Wadhibiti Ubora wa Elimu (Wakaguzi) ngazi ya wilaya bila kuwepo kwa muingiliano wa majukumu ili kuinua kiwango cha elimu nchini badala la kuendelea kubishana na kuingiliana katika majukumu yao.

“Kuanzia sasa naagiza Maafisa Elimu wa Wilaya wote nchini, Wadhibiti wa Ubora kote nchini na Makatibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu katika Halmashauri zote nchini; kwamba ushirikiano wa kikazi ni jambo la lazima kwenu vinginevyo tutaendelea kudidimiza Ubora wa Elimu nchini”
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Joseph Kakunda anayeshughulikia Elimu, Maji, Kilimo, Mifugo na Maliasili akielekea kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma kwa ajili ya kufungua kikao kazi cha Makaimu Makatibu TSC Wasaidizi mjini Dodoma kushoto kwake ni Katibu Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Winfrida Rutaindurwa na kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya TSC, Oliva Mhaiki.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Joseph Kakunda anayeshughulikia Elimu, Maji, Kilimo, Mifugo na Maliasili akitoa hotuba wakati wa  kufungua kikao kazi cha Makaimu Makatibu TSC Wasaidizi katika chuo cha Mipango mjini Dodoma, kushoto kwake ni Katibu Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Winfrida Rutaindurwa, Katibu wa Tume ya TSC Dodoma Manispaa na kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya TSC, Oliva Mhaiki. 
Baadhi ya Washiriki wa kikao kazi cha Makaimu Makatibu TSC Wasaidizi wa Wilaya 139 nchini, wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mhe. Kakunda hayupo pichani katika chuo cha Mipango mjini Dodoma.

Katika picha ya pamoja waliokaa, katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Joseph Kakunda anayeshughulikia Elimu, Maji, Kilimo, Mifugo na Maliasili kushoto kwake ni Katibu Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Winfrida Rutaindurwa na kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya TSC, Oliva Mhaiki.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU

yaani makala yote SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/serikali-yaagiza-ushirikiano-kati-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE ILI KUBORESHA ELIMU"

Post a Comment