RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE

RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE
kiungo : RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE

soma pia


RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE


Katika dakika chache zilizopita , spika wa bung la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu. 

Kumekuwa na shangwe miongoni mwa wabunge kufuatia tangazo hilo. 

Harakati za kumuondoa madarakani rais huyo kupitia bunge kumesitishwa.habari za kujiuzulu kwake zilitolewa wakati wabunge walipokuwa wakijiandaa kuanza harakati za kumngoa madarakani kupitia bungeni.katika barabara za Harare kulikuwa na sherehe huku magari mengi yakipiga honi.

Mwaka 1980, Bw Mugabe alishinda uchaguzi na kuwa waziri mkuu.

Mwaka 1982 aliushutumu upinzani kwa kujaribu kupindua serikali.

Maelfu ya watu waliuawa alipolituma jeshi lake lililopata mafunzo Korea Kaskizini, kuwakandamiza maadui zake.

Mwaka 1987,alibadilisha katiba ili imruhusu kuwa rais na kuongeza mamlaka yake.

Uchumi ulidorora baada ya mwaka 2000

Wakati Mugabe aliagiza kunyakua mashamba yaliomilikiwa na watu weupe yaliyokuwa kinara ya uchumi.

Mfumuko wa bei ulipelekea sarufi ya taifa kuwa bila thamani na hali nchini humo ikazidi kudororeka.

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2008, Mugabe alilazimika kugawanya mamlaka na kiongozi wa upinzani Morgan Tsvangirai.

Japo kulikuwa na ghasia dhidi ya wafuasi wa Bw Tsvangirai katika kampeni za uchaguzi.

Ndoa yake na Grace Mugabe ,anayemzidi kwa maika 40, yaweza kuwa iliyomponza.

Wengi walikasirishwa na Grace kuandaliwa kuwa mrithi wake.

Jeshi limeonesha kumtaka Emmerson Mnangagwa aliyefutwa kazi kama makamu wa Rais na Mugabe mwezi Novemba.


Hivyo makala RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE

yaani makala yote RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/rais-robert-mugabe-ajiuzulu-kwa-shingo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS ROBERT MUGABE AJIUZULU KWA SHINGO UPANDE URAIS WA ZIMBABWE"

Post a Comment