title : POLISI TABORA YACHUNGUZA KIFO CHA MTU ALIYEYE OKOTWA AMEKUFA
kiungo : POLISI TABORA YACHUNGUZA KIFO CHA MTU ALIYEYE OKOTWA AMEKUFA
POLISI TABORA YACHUNGUZA KIFO CHA MTU ALIYEYE OKOTWA AMEKUFA
NA TIGANYA VINCENT
RS –TABORA
7 November 2017
MTU mmoja ambaye jina lake halijatambulika na maeneo ambayo anaishi amekutwa amekufa na mwili wake kutelekezwa katika Barabara ya Mwanza eneo la Kiwanda cha Nyuzi Tabora kilichopo Kata ya Tambukareli Manispaa ya Tabora.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kutokea kwa tukio mauaji jana mjini Taboea na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari hasa watembea majira ya usiku.
Alisema kuwa Polisi wanaendelea na uchunguzi ili kuweza kubaini chanzo cha mauaji hayo ili wahusika weweze kuchukuliwa hatua na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa Kitete.
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kijiweni katika Manispaa ya Tabora Mohamed Mayunga amelaani kitendo hicho na kusema ni cha kinyama na kuomba Polisi kuhakikisha wanafuatilia kitendo hicho ili kukomesha mauaji zaidi.
Alisema kuwa pamoja marehemu haijafahamika alikuwa anafanyakazi gani ni vema wakazi wa Tabora hasa madereva wa boda boda wakachukua tahadhari wanapokodishwa nyakati za usiku kwa wapo watu wasio na nia njema kwao.
Mtu huyo anasadikiwa kuwawa kwa kupigwa kwa kitu chenye ncha kali katika sehemu za kichwa.
Hivyo makala POLISI TABORA YACHUNGUZA KIFO CHA MTU ALIYEYE OKOTWA AMEKUFA
yaani makala yote POLISI TABORA YACHUNGUZA KIFO CHA MTU ALIYEYE OKOTWA AMEKUFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLISI TABORA YACHUNGUZA KIFO CHA MTU ALIYEYE OKOTWA AMEKUFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/polisi-tabora-yachunguza-kifo-cha-mtu.html
0 Response to "POLISI TABORA YACHUNGUZA KIFO CHA MTU ALIYEYE OKOTWA AMEKUFA"
Post a Comment