Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri

Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri
kiungo : Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri

soma pia


Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri

 
Mwenzenu karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network, yaani inafikia mahali hata kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda mwanamke aliyejaliwa maeneo ya nyumba basi nihakikisha nashuka kituo atakachoshuka hata kama nikupitiliza napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe maneno mawili matatu huyo mwanamke .

Hii Tabia imenifanya nipoteza muda na mambo mengi ya msingi katika maisha yangu , moja kubwa nakumbuka mwaka jana niliitwa kwenye interview shiriki moja maeno ya Kijitonyama sayansi, nikiwa kwenye daladala kutokea mwenge kwenda posta nilijikuta nimefika posta kwa kumfuata mdada mmoja, baada ya hapo nikajikuta nimechelewa hiyo Interview na mbaya zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea na mimi baada ya kushuka kwenye dalala.

Waungwana Naombeni ushauri nifanye nini niache hichi kitabia?


Hivyo makala Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri

yaani makala yote Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/nitaachaje-kupenda-makalio-ya-wanawake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nitaachaje kupenda makalio ya wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri"

Post a Comment