title : Zanzibar Heroes kuagwa kesho
kiungo : Zanzibar Heroes kuagwa kesho
Zanzibar Heroes kuagwa kesho
Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), inatarajia kuagwa kesho kwa ajili ya safari yao ya kwenda mjini Kenya, kwenye Mashindano ya CECAFA Chalenj CUP yanayotarajiwa kuanza Disemba 3-17, 2017.
Heroes itaagwa saa 9:00 alaasiri na Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na michezo Rashid Ali Juma katika ukumbi wa V.I.P Uwanja wa Amaan.
Katika Mashindano hayo Heroes imepangwa Kundi A ambalo lina timu za Tanzania Bara, Libya, Rwanda na wenyeji Kenya.
Hivyo makala Zanzibar Heroes kuagwa kesho
yaani makala yote Zanzibar Heroes kuagwa kesho Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zanzibar Heroes kuagwa kesho mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/zanzibar-heroes-kuagwa-kesho.html
0 Response to "Zanzibar Heroes kuagwa kesho"
Post a Comment