Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko

Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko
kiungo : Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko

soma pia


Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko

Serikali ya Zimbabwe imetangaza siku kuu mpya ya kukumbuka mchango wa Robert Mugabe ambaye aliondolewa madarakani wiki iliyopita.

Gazeti la serikali la Herald limesema sikukuu hiyo itakuwa ikiadhimishwa siku ya kuzaliwa kwa Bw Mugabe kila mwaka.

Uamuzi wa kusherehekea Siku ya Taifa ya Vijana ya Robert Gabriel Mugabe kila 21 Februari ulifanywa rasmi kupitia tangazo rasmi kwenye gazeti la serikali.

Tangazo hilo lilichapishwa Ijumaa – siku ambayo Rais Emmerson Mnangagwa aliapishwa kuwa rais, na kufikisha kikomo uongozi wa Mugabe wa miaka 37.

Serikali ya Bw Mugabe ilikuwa imeamua kutangaza siku ya kuzaliwa kwake kuwa sikukuu ya taifa mwezi Agosti, baada ya kampeni kutoka kwa mrengo wa vijana katika chama cha Zanu-PF.

Bw Mugabe aliondolewa mamlakani wiki iliyopita kutokana na shinikizo kutoka kwa wanajeshi waliokuwa wamechukua udhibiti wa serikali wiki iliyotangulia.
 
Credit:BBC


Hivyo makala Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko

yaani makala yote Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/serikali-ya-zimbabwe-yatangaza-siku-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Serikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa ni Siku ya Taifa na Itakuwa ni Mapumziko"

Post a Comment