NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO

NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO
kiungo : NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO

soma pia


NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO

 Meneja Amana za wateja binafsi NBC Dorothea Mabonye na Meneja Mikopo ya wateja binafsi Mtenya Cheya wakimpigi mteja aliyeshinda katika droo ya kwanza ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ijulikanayo kama Malengo na Kirikuu, aliyejishindia zawadi ya shillingi milioni moja. Wanao shuhudia tukio hilo Kutoka kushoto. Meneja masoko wa NBC Alina Maria Kimaryo, na Msimamizi kutoka Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa Bakari Maggid. NBC iliendesha droo ya kwanza ambayo ilitoa jumla ya washindi 12 walijishindia shillingi milioni moja kila mmoja.
 Meneja masoko wa NBC Alina Maria Kimaryo (katikati) akionyesha vipeperushi vya kampeni ya akaunti ya malengo ijulikanayo kama Malengo na Kirikuu kwenye droo ya kwanza. Kushoto ni Meneja mwandamizi wa mahusiano ya Umma William Kallaghe na kulia ni Meneja Amana za wateja binafsi NBC Dorothea Mabonye. NBC iliendesha droo ya kwanza ambayo ilitoa jumla ya washindi 12 walijishindia shillingi milioni moja kila mmoja.
Meneja masoko wa NBC Alina Maria Kimaryo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa droo ya kwanza ya kampeni ya akaunti ya Malengo ijulikanayo kama Malengo na Kirikuu. Katika droo hiyo jumla ya washindi 12 walijishindia shillingi milioni moja kila mmoja. Wanao shuhudia ni Meneja Amana za wateja binafsi NBC Dorothea Mabonye (kati kati) na Meneja Mikopo ya wateja binafsi NBC Mtenya Cheya.







Hivyo makala NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO

yaani makala yote NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/nbc-yaendesha-droo-ya-kwanza-ya-kampeni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NBC YAENDESHA DROO YA KWANZA YA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO"

Post a Comment