NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU

NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU
kiungo : NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU

soma pia


NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU

Naibu waziri  wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Dkt. Faustine Ndugulile amewataka wananchi wa mkoa wa Lindi kuacha dhana potofu kuwa kingatiba za matende na mabusha zina madhara.Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa kambi ya upasuaji wa mabusha na ngirikokoto(henia) kwa wananchi 200 ambapo zoezi hili limedhafadhiliwa na kampuni ya utafiti na uendelezaji wa mafuta na gesi ya Statoil mjini hapa.

Naibu waziri afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Dkt.Faustine Ndugulile amewataka wananchi wa mkoa wa Lindi kuacha dhana potofu kuwa kingatiba za matende na mabusha zina madhara Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa kambi ya upasuaji wa mabusha na girikokoto(henia) kwa wananchi 200 ambapo zoezi hili limedhafadhiliwa na kampuni ya utafiti na uendelezaji wa mafuta na gesi ya Statoil mjini hapa.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Dkt. Faustine Ndugulile(wa pili kulia) akipokea hundi yenye thamani ya shilingi milioni 264 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya utafiti na uchimbaji wa mafuta ya Statoil, Bw. Oyotein Michelsen. Fedha hizo ni kwa ajili ya kambi za upasuaji wa mabusha na ngirikokoto kwa watu wapatao 400 kwa mwaka 2017 na 2018.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Dkt. Faustine Ndugulile akihutubia wananchi waliofika kwenye uzinduzi wa upasuaji wa mabusha na ngirikokoto kwa wagonjwa wapatao 200 wa Manispaa ya Lindi.
 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akipokea mashine ambayo ina kisu cha moto ambacho kinazuia damu wakati wa upasuaji kutoka kwa Mkurugenzi wa Statoil.
 Mkurugenzi wa Statoil, Bw.Oyotein Michelsen akisoma hotuba kwenye ufunguzi wa kambi ya upasuaji inayofanyila kwenye hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU

yaani makala yote NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/naibu-waziri-dktfaustine-ndugulile.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI DKT.FAUSTINE NDUGULILE AWATAKA WANANCHI WA MKOA WA LINDI KUACHA DHANA POTOFU"

Post a Comment