MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA

MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA
kiungo : MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA

soma pia


MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Deusdedit Kaganda akimkabidhi Bendera ya Taifa, Bi Hilda Jacob Mwakatumbula ambaye amechaguliwa na Kamati ya Kimataifa ya Vijana kuiwakilisha Tanzania kwenye Mkutano wa Dunia wa Vijana utakaofanyika Belize, Amerika ya Kati kuanzia tarehe 6 hadi 9 Novemba, 2017. 

Bi. Mwakatumbula ambaye anachukua Shahada ya Uzamivu katika Chuo Kikuu cha Waseda nchini Japan amepata ufadhili wa kushiriki Mkutano huo kutoka Ofisi ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto). Akimkabidhi Bendera hiyo, Bw. Kaganda alimwomba Bi. Mwakatumbula kuwa Balozi mzuri wa Vijana wa Kitanzania kwenye mkutano huo hususan katika kutekeleza Malengo Endelevu ya Maendeleo. 
Picha ya pamoja 


Hivyo makala MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA

yaani makala yote MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/msichana-wa-kitanzania-kuiwakilisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MSICHANA WA KITANZANIA KUIWAKILISHA NCHI MKUTANO WA DUNIA WA VIJANA"

Post a Comment