Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II

Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II
kiungo : Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II

soma pia


Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II

Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) kwa ajili ya mradi wa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II iliingia nchini kupitia Bandarini Oktoba 16, 2017 na leo hii Novemba 03, 2017 imetolewa Bandarini na hivi sasa inaelekea kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi Kinyerezi II (MW 240) Jijini Dare es Salaam.

Mradi huu wa Kinyerezi II uliwekwa jiwe la msingi na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli achi 16, 2016. Mradi unatarajiwa kukamilika ifikapo Septemba 2018. 
Moja ya Gari iliyobeba Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) kwa ajili ya mradi wa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II ikielekea eneo Kutakapojengwa Mradi huo.


Hivyo makala Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II

yaani makala yote Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mitambo-ya-kuzalisha-umeme-system.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) yawasili Kinyerezi II"

Post a Comment