MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA

MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA
kiungo : MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA

soma pia


MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mh Martha Mkupasi amezindua Ujenzi wa Zahanati ya Shenda ambayo inatarajiwa kujengwa kwa nguvu za wananchi kwa kushirikiana na serikali katika uzinduzi huo mkuu Wilaya ameshirikiana na wananchi kukamilisha zoezi la kumwaga Zege na kuendesha harambee ya kupata vifaa vya ujenzi.

Akiongea wakati wa uzinduzi huo Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi wote kutoa ushirikiano wa nguvu kazi kwenye ujenzi wa zahanati hiyo kwani zahanati hiyo itahudumia wananchi wote wa Shenda bila ubaguzi. Mkuu wa wilaya amewasisitiza wananchi wote kuungana bila kuangalia itikadi za chama wala dini .

Pamoja na uzindinduzi huo Mkuu wa Wilaya amemwagiza Mtendaji wa Kata ya masumbwe kugawa zamu za kufanya kazi kwenye zahanati hiyo kwa vitongoji vyote vya Shenda kwani Serikali itagharamia gharama za Fundi tu kazi nyingine zote zitafanywa na wananchi wa kijiji husika ili kupunguza gharama na kwenda na kasi ya mkuu wa mkoa wa Geita inayotaka kila kijiji kumiliki Zahanati yake.

Kwa sasa wananchi wa shenda wanapata matibabu kwenye kituo cha afya Masumbwe ambacho kipo umbali wa zaidi ya kilometa mbili kitu ambacho kimekuwa kikileta changamoto kwa wakazi wa shenda zaidi wakinamama wajawazito na watoto.

Vilevile Kaimu Muhandisi wa Ujenzi bi Filomena Bango amesema Zahanati hiyo inajengwa kwa nguvu za Wananchi ambao mpaka sasa wameshafyatua matofali 300 wameshaleta mawe ya kutosha na wanaendelea kushirikia na fundi . Bi Filomena amesema wananchi watakapoishia serikali itachukua jukumu la kumalizia wananchi walipoishia. 
  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Mbogwe akimwaga maji kwenye nondo zilizoandaliwa kwa ajili ya msingi wa Zahanati
 Mkuu wa Wilaya y a Mbogwe Mh Martha Mkupasi akikagua matofali yaliyofyatuliwa na wananchi kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Shenda
 Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mh Martha Mkupasi akihutubia wananchi wa kijiji cha Shenda wakati wa uzinduzi wa waujenzi wa Zahanati ya Shenda
Wananchi wa Kijiji cha Shenda wakishirikiana na kuchanganya Zege litakalotumika kujenga zahanati ya Shenda


Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA

yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mkuu-wa-wilaya-ya-mbogwe-azindua-ujenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA"

Post a Comment