Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT
kiungo : Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT

soma pia


Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Celestine Mushy akizungumza na Msajili wa Mfumo wa Kimataifa wa kumalizia mashauri masalia ya iliyokuwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya Rwanda (MICT), Dkt. Olufemi Elias alipotembelea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Novemba 2017. 
Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Caroline Chipeta na Maafisa mambo ya nje wakifuatilia mazungumzo. 
Maafisa walioambatana na Msajili wa UN-MICT wakifuatilia mazungumzo. 


Hivyo makala Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT

yaani makala yote Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mkurugenzi-wa-idara-ya-ushirikiano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa akutana na Msajili wa UN-MICT"

Post a Comment