title : MJEA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAISLAMU NCHINI
kiungo : MJEA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAISLAMU NCHINI
MJEA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAISLAMU NCHINI
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Amana Bank, Bw. Bakari Kisuda akizungumza na Waandishi wa Habari Waislamu jijini Dar es Salaam leo alipokuwa akifungua mafunzo maalum yaliyoandaliwa na Mtandao wa Waandishi wa Habari wa Kiislamu wa Afrika ya Mashariki (MJEA) kwa kushirikiana na kampuni ya KO Innovates zimeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari wanaofanya kazi kwenye vyombo vya habari vya Kiislamu hapa nchini.
Mwenyekiti wa MJEA, ABUOBAKARI FAMAU,amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wa waandishi wa habari wanaotoka kwenye vyombo hivyo vya habari ili waweze kuendana na mazingira ya sasa ya tasnia ya habari.
FAMAU ameongeza kuwa vyombo vya Kiislamu vina wajibu kubwa sana kwa jamii na hivyo kuna haja ya kukumbushana juu ya wajibu huo.
nae Khadijah Omar amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuwakutanisha waandishi wa habari wa vyombo vya Kiislamu na kubadilishana uzoefu.
Zaidi ya washiriki 25 wamepatiwa mafunzo hayo ambayo yatafanyika Novemba 25 mwaka huu katika ukumbi wa Tangaza House jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Amana Bank,Bakari Kisuda akizungumza na Waandishi wa Habari Waislamu jijini Dar es Salaam leo alipokuwa akifungua mafunzo maalum yaliyoandaliwa na Mtandao wa Waandishi wa Habari wa Kiislamu wa Afrika ya Mashariki (MJEA)
Waandishi wa Habari wa Mashirika ya Kislamu nchini wakifatilia hotuba ya mgeni Rasmi kwa makini
Hivyo makala MJEA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAISLAMU NCHINI
yaani makala yote MJEA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAISLAMU NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MJEA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAISLAMU NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mjea-yatoa-mafunzo-kwa-waandishi-wa.html
0 Response to "MJEA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAISLAMU NCHINI"
Post a Comment