title : Michoro ya watoto kutoka Tanzania wazawadiwa Finland.
kiungo : Michoro ya watoto kutoka Tanzania wazawadiwa Finland.
Michoro ya watoto kutoka Tanzania wazawadiwa Finland.
Michoro mitatu iliyochorwa na watoto kutoka Tanzania hivi karibuni ilitunukiwa tuzo ya heshima ya vyeti vya stashahada ya maonesho na Taasisi ya Sanaa za watoto na vijana ya Hyvinkää, Finland.
Bryton Manyewa(10), Neev Mistry (9) wa shule ya Academic International Primary na Mandela Mtaya (5) wa shule ya chekechea ya Upendo Montessori ndiyo waliofanikiwa kupata tuzo hiyo kwa upande wa Tanzania baada ya kushiriki shindano la michoro liloitwa 'Pamoja' lililotayarishwa na taasisi hiyo ya nchini Finland.

Zaidi ya michoro 6800 toka katika nchi 66 duniani zilishiriki shindano hilo ambapo majaji ambao walikuwa ni wachoraji magwiji a sanaa wa nchi hiyo walichagua michoro 670 kushiriki katika maonesho yaliyoanza Oktoba mwaka huu na yatamalizika 18 Januari 2018 kwenye ukumbi wa Taasisi hiyo inayojihusisha na elimu ya Sanaa kwa watoto na vijana ukuzaji wa muingiliano wa utamaduni wa nchi mbalimbali.
Maonesho hayo yanaweza pia kutazamwa katika mfumo wa Kidijitali kupitia tovuti ya Taasisi hiyo www.artcentre.fi
Katika miaka ya nyuma, kwa ufadhili wa ubalozi wa Finland nchini, baadhi ya watoto kutoka Tanzania waliweza kuhudhuria mafunzo ya Sanaa yanayotolewa na taasisi hiyo
Katika miaka ya nyuma, kwa ufadhili wa ubalozi wa Finland nchini, baadhi ya watoto kutoka Tanzania waliweza kuhudhuria mafunzo ya Sanaa yanayotolewa na taasisi hiyo
Hivyo makala Michoro ya watoto kutoka Tanzania wazawadiwa Finland.
yaani makala yote Michoro ya watoto kutoka Tanzania wazawadiwa Finland. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Michoro ya watoto kutoka Tanzania wazawadiwa Finland. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/michoro-ya-watoto-kutoka-tanzania.html
0 Response to "Michoro ya watoto kutoka Tanzania wazawadiwa Finland."
Post a Comment