MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI

MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI
kiungo : MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI

soma pia


MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini leo amefungua semina ya wajasiriamali wapatao 2000 wa Jimbo hilo.

Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Cavilam wilayani Dodoma ambapo wajasiriamali hao watapata nafasi ya kujifunza juu ya elimu ya Ujasiramali na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.

Aidha amesema kupitia semina hiyo watatoa walimu 205 ambao watazunguka katika kata zote 41 za Dodoma Mjini kwenda kufundisha vikundi vya wakinamama,Vijana na Wazee katika masuala ya utengenezaji bidhaa na kuongeza thamani,Ufugaji wa Kuku, Samaki na Mafunzo ya kilimo Bora.

Mavunde amesema baada ya kukamilika kwa mafunzo hayo litaandaliwa kongamano lingine kubwa litakalohusisha Taasisi za fedha na Mifuko ya Uwezeshwaji ili wajasiriamali wapate fursa ya kufahamu namna ya kuifikia mikopo na ruzuku zitakazosaidia upatikanaji wa mitaji ya kufanyia shughuli za uzalishaji mali.
 Mbunge wa Dodoma mjini na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Anthony Mavunde akifungua semina ya wajasiriamali Dodoma.
 Mbunge wa Dodoma mjini na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Anthony Mavunde akizungumza na wajasiriamali.
Washiriki wa semina ya ujasiriamali




Hivyo makala MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI

yaani makala yote MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mavunde-awapa-neema-wajasiriamali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI"

Post a Comment