title : MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI MJINI DODODMA.
kiungo : MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI MJINI DODODMA.
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI MJINI DODODMA.
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungungumza na Mbunge wa Urambo Tabora, Magreth Sitta, nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Korogwe Vijijini, Joseph Ngonyani(Maji Marefu) nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa Manispaa ya Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe, kwenye Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI MJINI DODODMA.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI MJINI DODODMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI MJINI DODODMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/matukio-katika-picha-yaliyojiri-mjini.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI MJINI DODODMA."
Post a Comment