Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika

Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika
kiungo : Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika

soma pia


Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika

                                                   .
Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limesogeza mbele Mashindano ya Kombe la Chalenji.
Mashindano hayo yalitarajiwa kuanza Novemba 25 hadi Disemba 9, 2017 lakini sasa yataanza Disemba 3 hadi 17, 2017 nchini Kenya.

Akizungumza na Mtandao huu Afisa Habari wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) Ali Bakar "Cheupe" ametoa taarifa kuhusu kupelekwa mbele Mashindano hayo.

"Tumepokea Barua kutoka CECAFA kuwa mashindano ya Chalenj yamesogezwa mbele mpaka Disemba 3 kwaiyo timu yetu itaendelea na mazoezi kujiandaa na mashindano hayo". Alisema Cheupe.

Jumla ya Mataifa 12 yanatarajiwa kushiriki Mashindano hayo wakiwemo wenyeji Kenya, Uganda, Somalia, Sudan, Ethiopia, Sudan ya Kusini, Burundi, Rwanda, Tanzania bara, Zanzibar, huku Libya na Zimbabwe zikialikwa kuchukua nafasi ya Djibouti na Eritrea.


Hivyo makala Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika

yaani makala yote Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mashindano-ya-chalenji-yasogezwa-mbele.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mashindano ya Chalenji Yasogezwa Mbele Zanzibar Heroes yazidi kupikika"

Post a Comment