title : MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU
kiungo : MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU
MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao za uvuvi Ziwa Victoria, katika kijiji cha Nyang’ombe kilichopo wilayani Rorya, Mkoani Mara.Katika ziara hiyo Naibu Waziri aliambatana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala ikiwa na lengo la udhibiti uhalifu na uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala , akizungumza na wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao za uvuvi Ziwa Victoria katika kijiji cha Nyang’ombe kilichopo wilayani Rorya, mkoani Mara. Lengo la ziara hiyo ni kudhibiti uhalifu na kudhibiti uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, akizungumza na wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao za uvuvi Ziwa Victoria katika kijiji cha Nyangombe, kilichopo wilayani Rorya, mkoani Mara. Lengo la ziara hiyo ni kudhibiti uhalifu na kudhibiti uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwananchi wa kijiji cha Nyang’ombe akiuliza maswali kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, wakati wa ziara ya kikazi ambapo naibu waziri aliongozana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, lengo la ziara hiyo ni kukagua udhibiti uhalifu na uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Wananchi wakishangilia jambo wakati Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), akizungumza katika mkutano uliofanyika kijiji cha Nyang’ombe ,wilayani Rorya. Naibu Waziri yupo katika ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kukagua udhibiti uhalifu na uingiaji wa kinyume na sheria kwa raia kutoka nchi jirani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hivyo makala MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU
yaani makala yote MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/masauni-dk-makakala-wazungumza-na.html
0 Response to "MASAUNI, DK. MAKAKALA WAZUNGUMZA NA WAVUVI MKOANI MARA,WAWAASA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI KUDHIBITI UHALIFU"
Post a Comment