title : MAMA MCHUNGAJI GEITA AIBUKA MSHINDI WA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 15/=TUSUA MAPENE YA VODACOM
kiungo : MAMA MCHUNGAJI GEITA AIBUKA MSHINDI WA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 15/=TUSUA MAPENE YA VODACOM
MAMA MCHUNGAJI GEITA AIBUKA MSHINDI WA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 15/=TUSUA MAPENE YA VODACOM
Bi.Adivella Muhimba,Mkazi wa Mkoa wa Geita akikabidhiwa kitita cha shilingi Miliono 15/- fedha taslimu na Meneja wa kanda ya ziwa wa Vodacom Tanzania PLC, Undule Mwamkamba ambazo amejishindia kupitia promosheni ya Tusua mapene inayoendeshwa na kampuni hiyo.
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 15/kupitia promosheni ya Tusua Mapene Bi.Adivella Muhimba ambaye ni Mkazi wa Mkoa wa Geita,akifurahia baada ya kukabidhiwa rasmi kitita chake na Meneja wa kanda ya ziwa wa Vodacom Tanzania PLC, Undule Mwamkamba hapo jana.
Bi.Adivella Muhimba ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 15/- kupitia promosheni ya Tusua Mapene akifurahia jambo pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Mkoani Geita baada ya kupokea fedha rasmi.
Hivyo makala MAMA MCHUNGAJI GEITA AIBUKA MSHINDI WA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 15/=TUSUA MAPENE YA VODACOM
yaani makala yote MAMA MCHUNGAJI GEITA AIBUKA MSHINDI WA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 15/=TUSUA MAPENE YA VODACOM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA MCHUNGAJI GEITA AIBUKA MSHINDI WA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 15/=TUSUA MAPENE YA VODACOM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mama-mchungaji-geita-aibuka-mshindi-wa.html
0 Response to "MAMA MCHUNGAJI GEITA AIBUKA MSHINDI WA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 15/=TUSUA MAPENE YA VODACOM"
Post a Comment